GEITA FOOD PRODUCTS LTD, Ni kampuni inayoongoza katika sekta ya kilimo na ufugaji hapa nchini. Tunajivunia kutoa huduma bora na bidhaa za kilimo zinazokidhi viwango vya kimataifa. Kampuni yetu ina historia ndefu ya kushirikiana na wadau mbalimbali wenye uzoefu na utaalamu katika sekta ya kilimo na mifugo, ikiwa ni pamoja na kutoa elimu na ushauri wa kitaalamu kuhusu kilimo bora, ufugaji wa kisasa, na masoko ya mazao.
Read more
KILIMO